Ubeti wa kwanza natoa wito
Kwa wakenya wapendwa
Lugha ndiyo kiini cha mazungumzo
Huleta watu pamoja
Huwa kiwakilishi cha jamii
Kiswahili lugha ya taifa
Kinatumika hata ughaibuni
Wenyaji twakipuuza
Tukienzi kiingereza
Ukoloni mamboleo
Kila siku twaendeleza
Kiaswahili twakidhihaki
Utamaduni wetu twautupa
Mwacha mila ni mtumwa
Ndio maana twaangaika
Hatujui lipi la kufuata
Uingereza ama Marekani
Nawasihi wapendwa
Fikra tuzindue
Tufuate yetu Waafrika
Tujiendeleze ipasavyo
Kiswahili tukikuze
Tujivunie lugha yetu
Kwa wakenya wapendwa
Lugha ndiyo kiini cha mazungumzo
Huleta watu pamoja
Huwa kiwakilishi cha jamii
Kiswahili lugha ya taifa
Kinatumika hata ughaibuni
Wenyaji twakipuuza
Tukienzi kiingereza
Ukoloni mamboleo
Kila siku twaendeleza
Kiaswahili twakidhihaki
Utamaduni wetu twautupa
Mwacha mila ni mtumwa
Ndio maana twaangaika
Hatujui lipi la kufuata
Uingereza ama Marekani
Nawasihi wapendwa
Fikra tuzindue
Tufuate yetu Waafrika
Tujiendeleze ipasavyo
Kiswahili tukikuze
Tujivunie lugha yetu
Comments
Post a Comment